Latest Photos :
.
Recent Hot Photos
Showing posts with label Hot Gossips. Show all posts
Showing posts with label Hot Gossips. Show all posts

VIDEO VIXEN OF MASOGANGE IN SEX TAPE?

By Rahaday Reporter
Word on the street is that yule video queen wa Masogange ile nyimbo iliyemtoa Belle9 Kimasomaso, who goes  by the name of Agnes  Gerald a.k.a Agnes Masogange ametoa kitu cha sex tape.
Beautiful Agnes who has  been seen in several music  bongo flava music videos  ambazo amewahi kung’aa  including  ‘Magube gube’ ya Barnaba , Masogange ya Belle9, anasemekana ameact sex tape ambayo sasa iko mitaani inauzwa ambayo imeonyesha uzuri wake na pia alitupa fleva ya mauno kidogo.
Through Rahaday’s special investigative skills we heard that  Agnes had a fight with her boo then  ndo hapo jamaa akaamua to do a  Ray J stunt ( Ray J published an explicit tape of him and Kim Kardashian in bed)  na kutoa hiyo video.
This means that when Agnes was dating this guy they used to tape themselves doing all sorts of crazy things.
When we sought to get in-touch  with Agnes  atuambie kuhusu gossip hizi but she was not picking up any of her calls. We also looked for the video but weren’t successful.

WEMA SEPETU APATANISHWA NA MAMA YAKE



KATIKA kukamilisha mfungo wake wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amekubali kupatanishwa na mama yake mzazi, Miriam Sepetu, hivyo kukamilisha usemi kuwa mtoto hakui kwa mzazi wake, Ijumaa limeshiba. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Wema, baada ya staa huyo kutofautiana na mama yake kisa kikiwa ni mahojiano aliyofanya mzazi huyo runingani ambayo hayakumpendeza Wema, hivi karibuni wamekutanishwa na kurejesha amani iliyokuwa imetoweka kati yao. “Mimi najua undani wa ishu nzima, tangu yale mahojiano na nyiye (Global) mkaandika kuwa mama Wema alimtia aibu mwanaye, hali ilikuwa mbaya hadi juzi walipopatanishwa ndiyo wamerudisha ushosti wao,” kilisema chanzo hicho. WAZEE WAWAPATANISHA Chanzo chetu kilidadavua kuwa pamoja na Wema kwenda kumwangukia mama’ke, kuna wazee ambao walitinga nyumbani kwa Wema, Kijitonyama ‘Hollywood’, Dar waliotoka upande wa mzazi huyo ambao walikwenda kumsihi afanye hivyo. “Hazikuwa jitihada zake peke yake za kutaka kumaliza tofauti kati yake na mama’ke bali wale wazee takriban wanne walizungumza na Wema na kumwelekeza namna ya kumaliza tofauti zake na mzaa chema huyo,” kilisema chanzo hicho na kuongeza: “Hao wazee ndiyo waliwakutanisha kwa mama Wema, Sinza-Mori, Dar na kumaliza chokochoko zote na sasa Wema na mama’ke mambo ni ‘mswaano’. HALI ILIKUWA MBAYA SANA Chanzo hicho kiliendelea kushusha data kuwa kulikuwa na ulazima wa Wema kutinga kwa mama’ke na kumwangukia kwani suala hilo lilikuwa likimpasua kichwa na kusababisha hali kuwa mbaya kati ya wawili hao kwa sababu hakukuwa hata na salamu. WEMA ASHINDA KWA MAMA’KE Baada ya kusikiliza maelezo hayo kutoka kwa chanzo, Julai 23, mwaka huu saa 5 na sekunde 35 asubuhi, Ijumaa lilizungumza na Wema kutaka kujua alikuwa wapi wakati huo ambapo alijibu kuwa anaenda kwa dada yake kumchukua mtoto aliyemtaja kwa jina la Sasha kisha kwenda kushinda naye Sinza-Mori kwa mama yake. Alipoulizwa kama ni kweli kuna wazee walimfuata na kumpatanisha na mama yake, staa huyo wa muvi ya Super Star itakayoingia sokoni Agosti alikiri kutokea kwa suala hilo. HUKO NYUMA Wiki kadhaa zilizopita, Wema na mama yake walitibuana baada ya mzazi huyo kuwatemea mbovu mashosti wa mwigizaji huyo alipokuwa akihojiwa runingani.

MODELS RUNWAYS FALL PHOTOS-OOH MY GOD!!








Wema Sepetu Before and After Photo: Carolight Vs Omo


SUSAN PETERS-AM NOT A LESBIAN!

Fashion conscious woman, Susan Peter is not too happy at the about the ugly rumour currently going on about her. One-time beauty queen and Nollywood actress is said to be deeply involved in woman-to-woman affair popularly called lesbianism.

Susan, who recently came out to clear air about the false allegation said "I am not a lesbian. I have never practised lesbianism. People who know me know that Susan Peters is not a lesbian. Maybe, the speculation was because of my masculine structure. I am masculine because I used to participate in games a lot before. www.uwillcgossip.com

I played basketball, ran, played golf but I stopped at some point because I was developing muscles. If I go back into gym now, I will develop those muscles but I am not gay. People should stop tagging me as gay. I love the other sex, I don’t like gay. I have female friends but I have more of male friends. I have a boyfriend mind you, not boyfriends. 

But I have male friends because I prefer male friends to female friends because they are more comfortable to be with. I am not saying I don’t like my female friends. I have female friends but I love more of male friends. So, people should stop saying I am gay, I am a full-fledged straight woman.’’

She also said that she had never experienced any form of harassment in the industry. Her sojourn in the acting world has been so smooth and loving. "No, I have never experienced any sexual harassment, why should I be harassed when I am good at my work? And also, I respect myself, so why would anyone in his or her right frame of mind be harassed? I did not experience that, so I can’t say. 

My roles are based on auditions and recommendations. Anybody who has said any other thing about Susan Peters is lying because my roles are based on hard work and recommendation from maybe people I have worked with before, or friends. Basically, that is how I have grown to this level in the industry.’’

RIHANNA HOLIDAY PHOTOS IN FRANCE



The 24 year singer, who is currently holidaying in France, was spotted on the streets of St Tropez yesterday wearing a bandeau bikini top and a white crochet skirt. This girl no send!

SEXY BEACH BABE ANGELA SIMMONS PHOTOS




Ain't she hot???

THE LOOK WE LOVE -PLUS SIZE FASHIONISTAZ!!









Actor Eddie Murphy is reported to have died-Is This Really or Fake?

Actor Eddie Murphy is reported to have died shortly after a snowboard accident earlier today - July 24, 2012.

The actor & novice snowboarder was vacationing at the Zermatt ski resort in Zermatt, Switzerland with family and friends. Witnesses indicate that Eddie Murphy lost control of his snowboard and struck a tree at a high rate of speed.

Eddie Murphy was air lifted by ski patrol teams to a local hospital, however, it is believed that the actor died instantly from the impact of the crash. The actor was wearing a helmet at the time of the accident and drugs and alcohol do not appear to have played any part in his death

Photo of The Day: Wema Sepetu With Zitto Kabwe

Hapo chachaaa!!!Wema Sepetu and Zitto kabwe..Sijui Wapi Hapo

Photos of Lady Gaga Before She Was Famous

May be you want to know how lady gaga before she was famous looks like. This is the picture of lady gaga with her boy friend (may be), isn’t he?

 May be you want to know how lady gaga before she was famous looks like. This is the picture of lady gaga with her boy friend (may be), isn’t he?

Video ya Utupu ya Agness Masogange yavuja Mtandaoni

BAADA ya kuandamwa na skendo kibao za kutoka na vigogo kisura wa video za wasanii wa bongo,Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, ameonekana kwenye mkanda wa picha ya ngono ambao umesambaa mtaani huku ikiwa dili kwa watu wanaotaka kuona umbo la mwanadada huyo.

Mkanda huo unaomuonesha mwanadada huyo akiwa mtupu, huku utata mkubwa ukizunguka kujua ni kitu gani kilichosababisha hadi kusambazwa kwa video hiyo.



Agnes katika pozi 

Mtandao wa DarTalk, ulifanikiwa kupata video hiyo ambayo mwanadada huyo ameonekana na kijana mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake. Baadhi ya videos za bongo flava ambazo amewahi kuong’aa ni pamoja na ‘Magube gube’ ya Barnaba , Masogange ya Belle9 na nyingine nyingi.

Baada ya kupatatikana kwa video hiyo mtandao huu ulijaribu kumsaka Agnes ili kufafanua uwepo wake ndani ya video hiyo lakini hakuweza kupatikana kwenye simu yake ya mkononi.

Tazama Ramani...... utaona???Hapa Kunani Jamani?

Leo Martin Kadinda Weka hii Picha na Kusema  "Tazama Ramani Utaona...Wewe unaona Nini hapo?
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Hot Girls Photos - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger Template